|
Post by Admin on Feb 27, 2016 9:56:34 GMT
kuna wakati umekuwa unahitaji kuchukua picha/ kupiga picha screen ya computer yako (screenshot) lakini ghafla ukaanza kufikiria kuhusu kudownload software kwaajili ya kukuwezesha kufanya hivyo, lakini kama utafahamu hi trick nyepesi hutahitaji tena kuwa na software yeyote ya kufanyia screenshots kwenye computer yako. sasa fanya hivi Bonyeza Windows logo button na PRTSC (print screen button) kwa pamoja then hiyo screenshot itakuwa imejihifadhi kwenye file la pictures>screenshots
|
|